Hii ya TFF kupanga viingilio Sijaelewa

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,017
Reaction score
18,537
Msimu huu wa 2018/19 TFF wamesema mwenyeji ndio atasimamia mapato na mapato yote yatakuwa ya mwenyeji baada ya makato makato. Swali kama Simba ndio wenyeji kuamua kiingilio cha Mechi zao ni maamuzi ya Simba au ya TFF. Simba wakiamua mzunguko 3000 ili wapate mashabiki wengi zaidi ni makosa!!?? Na imekaaje kuhusu idadi ya mashabiki wa timu wageni Simba wanaweza kuamua idadi tiketi za mashabiki Wa timu mgeni!!??
 
Attachments

  • f4987560e6e5d7907527dd323308e838.jpg
    103.4 KB · Views: 23
TFF hapa wafikiririe tena,hiv kwa mfano Mbao au Ndanda wana mechi Tatu mfulilizo Taifa,hizo siku zote wataishije hapo Daresalamu?

Wataweza kujigaramikia bila kupata chochote from gate collections???
 
TFF hapa wafikiririe tena,hiv kwa mfano Mbao au Ndanda wana mechi Tatu mfulilizo Taifa,hizo siku zote wataishije hapo Daresalamu?

Wataweza kujigaramikia bila kupata chochote from gate collections???
Kama Mbeya city mkuu mechi ya kwanza amecheza na Azam Chamazi , game ya pili amecheza na Simba taifa then game ya tatu amecheza na Mtibwa Manungu. Kapoteza game zote hizo
 
Kama Mbeya city mkuu mechi ya kwanza amecheza na Azam Chamazi , game ya pili amecheza na Simba taifa then game ya tatu amecheza na Mtibwa Manungu. Kapoteza game zote hizo

Halafu hawajapata gawio lolote kutoka kwenye gate collections una-expect nn?

Automatically timu lazima itapoteza mchezo,

Wakiwa kwao watapata pesa kwenye mechi ya Simba na Yanga,zingine vumbi,
 
TFF ya Karia ndio mbovu kuliko zote. Hana mipango na hana watu makini pia.
 
Yani wameshindwa hata kuwashawishi sports pesa wadhamini ligi japo kwa 250m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…