Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Msimu huu wa 2018/19 TFF wamesema mwenyeji ndio atasimamia mapato na mapato yote yatakuwa ya mwenyeji baada ya makato makato. Swali kama Simba ndio wenyeji kuamua kiingilio cha Mechi zao ni maamuzi ya Simba au ya TFF. Simba wakiamua mzunguko 3000 ili wapate mashabiki wengi zaidi ni makosa!!?? Na imekaaje kuhusu idadi ya mashabiki wa timu wageni Simba wanaweza kuamua idadi tiketi za mashabiki Wa timu mgeni!!??