Ndugu zangu wana jf,inasikitisha sana serikali inapotangaza nafasi za ajira halafu wanaweka experience ya miaka 3 hivi sisi graduate hiyo experience tutaitoa wapi?mfano nafasi za TANAPA zilizotangazwa leo kwenye mwananchi. Wana jf tusimame kidete kupinga sera hizi za ajira za kizamani na zinatukandamiza sisi vijana