Hii ya waajiri kutaka experience imekaaje?

Mopalmo

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
534
Reaction score
139
Ndugu zangu wana jf,inasikitisha sana serikali inapotangaza nafasi za ajira halafu wanaweka experience ya miaka 3 hivi sisi graduate hiyo experience tutaitoa wapi?mfano nafasi za TANAPA zilizotangazwa leo kwenye mwananchi. Wana jf tusimame kidete kupinga sera hizi za ajira za kizamani na zinatukandamiza sisi vijana
 
Chakachua experince. Andika kwenye CV yako 3 yrs experince uone kama hujaitwa.

Akili ya kuambia changanya na ya kwako (JK).
 
Hiyo sio dawa ya tatizo kwani kama HR yuko makini atakugundua,dawa ni kupinga huu utaratibu wa kizamani kwa njia mbalimbali
 
kiukweli inaboa sana if not kukera......hyo xperience 2taitoa wapi ce ndo 2metoka shule!!!!!!!!!!vibabu vitaendelea kukalia viti mpaka vinakufa na ce wengne magamba yanaozea masandukuni!!!!!!!!!!!
 
most of post huwa wanataka experience lakini it doesent real matters
 
Back
Top Bottom