Ndugu zangu wana jf,inasikitisha sana serikali inapotangaza nafasi za ajira halafu wanaweka experience ya miaka 3 hivi sisi graduate hiyo experience tutaitoa wapi?mfano nafasi za TANAPA zilizotangazwa leo kwenye mwananchi. Wana jf tusimame kidete kupinga sera hizi za ajira za kizamani na zinatukandamiza sisi vijana
Chakachua experince. Andika kwenye CV yako 3 yrs experince uone kama hujaitwa.
Akili ya kuambia changanya na ya kwako (JK).