Kuhamishwa wao sio wa kwanza wala hawatakuwa wa mwisho.....
Ujenzi wa mji wa serikali Dom, watu si wamelipwa?
Standard gauge vipi watu hawakuamishwa?
Waliokuwa wanakaa mabondeni hapo dar hawakuamishwa?
Manufaaa ya kupisha wenye pesa? Kwa hio hata nchi ikizuwa unaona ni sawa kwa sababu ni kwa masilahi ya nchi?Watu wanajitoa ufahamu wakati haya mambo yapo Kila siku na yataendelea kuwepo.
Mleta uzi asichojua ardhi ni Mali ya serikali na Rais ni custodian mkuu wa ardhi.
Kama jambo lina manufaa mapana watu hamna budi kuhama na hawa wamasai watahama tu.
Walihamishwa kupisha watu wengine?Unaonekana kabisa wewe sio mtanzania! Kwa watanzania tunajua kabisa kuwa kuhamishwa ni jambo la kawaida maana hata mwaka 1974 tulihamishwa kuanzisha vijiji vya ujamaa
Wasalimie hapo Nyeri Kenya
Wale watapelekwa Shinyanga au TaboraMwanza nako inatajwa kuhamisha watu milimanii
Wewe ndo una akili kama piliton, Tofautisha kuhamisha watu kupisha watu wenye pesa na kuhamisha watu kupisha project ya Serijali ambapo ni nyumba chache huhamishwa, Kule North Mara hadi leo watu wamebakia masikini kisa kupisha Mgodi,Kwa akili zako fupi, ukiambia rudisha nyumba yako nyuma kidogo unaelewa nini??
Hahaha kwa wachaga mkuu.Hakuna kitu mtafanya nakuhakikishia
Manufaaa ya kupisha wenye pesa? Kwa hio hata nchi ikizuwa unaona ni sawa kwa sababu ni kwa masilahi ya nchi?
Mleta mada anaweza kuwa ni mdogo kiumri wakati mengine yanafanyika hapa nchini alikuwa aidha hajazaliwa au hajapata akili ya kujua nini kinaendelea.Wamasai sio jamii ya kwanza kuhamishwa ili kupisha shughuli zingine. Watu kila siku wanahamishwa kupisha ujenzi wa barabara, majengo, viwanja vya ndege na maendeleo mengine.
Tena hawa wamasai wamepewa eneo jipya, usafiri na fidia kabisa wahame tu kwa amani. Prof Jay na watanzania wengi wamevunjiwa nyumba zao bila fidia yeyote.
Hawa mayeroo wakiendelea kujazwa kwamba wao ni special sana hawapaswi kuhama watakipata wanachokitafuta.
Kwa sheria za nchi hakuna eneo la mtu. Ardhi iko chini ya serikali.Hakuna cha wao kuwa special ila wana haki na eneo lao.