Kiparuanda JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,587 Reaction score 2,389 Nov 4, 2023 #21 Dr hyperkid said: ni kujifungua ndugu...mbuzi ndio huzaa Click to expand... Binadamu na mbuzi wote ni mamalia acheni kujikuta spesho
Dr hyperkid said: ni kujifungua ndugu...mbuzi ndio huzaa Click to expand... Binadamu na mbuzi wote ni mamalia acheni kujikuta spesho
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Nov 4, 2023 #22 Wadada wengi wa sasa ni wavivu na sio mashujaa kama wa kipndi cha nyuma , pia lishe ya sasa ni changamoto kubwa., kiufupi mtindo wa maisha ya sasa ume badilisha mambo mengi sna .
Wadada wengi wa sasa ni wavivu na sio mashujaa kama wa kipndi cha nyuma , pia lishe ya sasa ni changamoto kubwa., kiufupi mtindo wa maisha ya sasa ume badilisha mambo mengi sna .
BEZO JF-Expert Member Joined Jul 15, 2023 Posts 1,770 Reaction score 4,449 Nov 4, 2023 #23 Laiti mngejua sababu zinazo pelekea mtu ajifungue kwa C/S msinge jadili huu upumbavu hapa. Achilia mbali wale wanao amua wenyewe wajifungue kwa C/S.
Laiti mngejua sababu zinazo pelekea mtu ajifungue kwa C/S msinge jadili huu upumbavu hapa. Achilia mbali wale wanao amua wenyewe wajifungue kwa C/S.
Zabron Hamis JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,093 Reaction score 11,377 Nov 4, 2023 #24 Kingsharon92 said: Ni mbwembwe tu za matamshi Kuzaa ndiyo neno fasaha Click to expand... Ibrahim akamzaa Isaka, Isaka akamzaa ...
Kingsharon92 said: Ni mbwembwe tu za matamshi Kuzaa ndiyo neno fasaha Click to expand... Ibrahim akamzaa Isaka, Isaka akamzaa ...
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Nov 4, 2023 #25 Dr hyperkid said: ni kujifungua ndugu...mbuzi ndio huzaa Click to expand... unafungua nini? Yote ni kuzaa, hii kujifungua ni neno la hivi karibuni
Dr hyperkid said: ni kujifungua ndugu...mbuzi ndio huzaa Click to expand... unafungua nini? Yote ni kuzaa, hii kujifungua ni neno la hivi karibuni