Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Na kwenda gym kutengeneza Six pcsPesa ndo kila kitu!
Nyie jitahidini sana kuwakojoza mwisho wa siku sie wenye senti tutawafanyia shopping we na dem wako!
We mkojoze sana tu ila mie ndo nakupangia mda wa kuwa nae!
Moise katumbi acha kula sijui pweza we toa mshiko tu "baba vikima" aendelee kuwakojoza wayaru
Mie najitahidi nifikishe 6b in my accountNa kwenda gym kutengeneza Six pcs
Jitahidi umsake Mo ukimpata tu ndoto yako inaenda kutimiaMie najitahidi nifikishe 6b in my account
Kuna mdada humu alisema wenye mafeza yao huwa hawana mda wa kucoment kabisa ukiona mtu anacoment hovyo hovyo halafu anajifanya ana hela ujue huyo ni KAPUKU tu.....Niemnukuu tu mzee baba.Mie najitahidi nifikishe 6b in my account
Usikute bado anajaza choo cha shemeji yake πKuna mdada humu alisema wenye mafeza yao huwa hawana mda wa kucoment kabisa ukiona mtu anacoment hovyo hovyo halafu anajifanya ana hela ujue huyo ni KAPUKU tu.....Niemnukuu tu mzee baba.
[emoji3][emoji3]Usikute bado anajaza choo cha shemeji yake [emoji23]
πππππππππππUsikute bado anajaza choo cha shemeji yake π
Hiyo ni kweli kabisa....wenye hela hawashindi humu!Kuna mdada humu alisema wenye mafeza yao huwa hawana mda wa kucoment kabisa ukiona mtu anacoment hovyo hovyo halafu anajifanya ana hela ujue huyo ni KAPUKU tu.....Niemnukuu tu mzee baba.
Naunga mkono hoja wanaojitapa wana hela humu JF halafu kutwa kucomment hovyo hovyo hao ni wenzangu na mimi bank account haizidi elfu 30 ππππππππ.Hiyo ni kweli kabisa....wenye hela hawashindi humu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....umeshtuka eeeh?Naunga mkono hoja wanaojitapa wana hela humu JF halafu kutwa kucomment hovyo hovyo hao ni wenzangu na mimi bank account haizidi elfu 30 ππππππππ.
JF kila mtu ana gariNaunga mkono hoja wanaojitapa wana hela humu JF halafu kutwa kucomment hovyo hovyo hao ni wenzangu na mimi bank account haizidi elfu 30 ππππππππ.
Ukiona mtu mpayukaji ujue ana stress za fedha huyo hasira zipo mlangoni kwa ajili ya ukata.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....umeshtuka eeeh?
hahaa una mkojoza then akitoka hapo anaanza kujisikia njaa mtu mzima kumbe hata nauli hunaPesa ndo kila kitu!
Nyie jitahidini sana kuwakojoza mwisho wa siku sie wenye senti tutawafanyia shopping we na dem wako!
We mkojoze sana tu ila mie ndo nakupangia mda wa kuwa nae!
Moise katumbi acha kula sijui pweza we toa mshiko tu "baba vikima" aendelee kuwakojoza wayaru
Hahahaaaa halafu wamejenga maghorofa,wanafanya biashara kubwa kubwa au kama kaajiriwa basi anafanya kazi UN mshahara milioni 10 kwa mwezi,watoto wanasoma intaneshino efemu akademia,likizo wanaenda kupumzika kwa wazazi USA na UK.JF kila mtu ana gari
Hata wewe unazipenda ndio maana umefungua na kukomenti hii Sred[emoji3][emoji3]
kwamba anashindana na dada yake kukatisha msalani hahaha.
Ila mzee baba hizi stori muulize wife kwamba vipi zari kwasasa yupo na nani? hayo ndiyo mambo yao.