Hii ya Zari na Boss wa TP Mazembe Moze Katumbi imekaaje?

Hii ya Zari na Boss wa TP Mazembe Moze Katumbi imekaaje?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Wenyeji wa Huko SnapChat sijui Instagram mtujuze haya mambo yamekaaje kwamba Zari eti anatoka na Moze Katumbi,imekaaje hii? au ndo upuuzi wa Shigongo?
Screenshot_20181018-194209.png
Screenshot_20181018-194118.png
 
Pesa ndo kila kitu!
Nyie jitahidini sana kuwakojoza mwisho wa siku sie wenye senti tutawafanyia shopping we na dem wako!
We mkojoze sana tu ila mie ndo nakupangia mda wa kuwa nae!
Moise katumbi acha kula sijui pweza we toa mshiko tu "baba vikima" aendelee kuwakojoza wayaru
 
Na kwenda gym kutengeneza Six pcs
 
Kuna mdada humu alisema wenye mafeza yao huwa hawana mda wa kucoment kabisa ukiona mtu anacoment hovyo hovyo halafu anajifanya ana hela ujue huyo ni KAPUKU tu.....Niemnukuu tu mzee baba.
Usikute bado anajaza choo cha shemeji yake 😂
 
Apo sasa vijana wa dar wanafurahia sana umbea raha utafikiria wanatekenywa ukooo back.
 
Pesa ndo kila kitu!
Nyie jitahidini sana kuwakojoza mwisho wa siku sie wenye senti tutawafanyia shopping we na dem wako!
We mkojoze sana tu ila mie ndo nakupangia mda wa kuwa nae!
Moise katumbi acha kula sijui pweza we toa mshiko tu "baba vikima" aendelee kuwakojoza wayaru
hahaa una mkojoza then akitoka hapo anaanza kujisikia njaa mtu mzima kumbe hata nauli huna
 
[emoji3][emoji3]
kwamba anashindana na dada yake kukatisha msalani hahaha.

Ila mzee baba hizi stori muulize wife kwamba vipi zari kwasasa yupo na nani? hayo ndiyo mambo yao.
Hata wewe unazipenda ndio maana umefungua na kukomenti hii Sred
 
Back
Top Bottom