Na magari wanazomiliki sio Toyota, ni BMW,Benz,Audi,Range,n.kHahahaaaa halafu wamejenga maghorofa,wanafanya biashara kubwa kubwa au kama kaajiriwa basi anafanya kazi UN mshahara milioni 10 kwa mwezi,watoto wanasoma intaneshino efemu akademia,likizo wanaenda kupumzika kwa wazazi USA na UK.
mh kwenye ishu ya mo kibongobongo inaweza ikamtokea puani,Jitahidi umsake Mo ukimpata tu ndoto yako inaenda kutimia
Sawa mkuu itabidi niache kudangaAngekuwa anafanya yote hayo usingepoteza muda humu kudanga
😂😂 acha wogaNo ya wakala ya kutolea nitakupa ila ya kwangu boss hapana, nishauri tu pm nitasoma.
Lunch wanakula kempinsiki na royo pamu.Na magari wanazomiliki sio Toyota, ni BMW,Benz,Audi,Range,n.k
vijana wasiojielewa ndo wamemletea heshima ya kuzaa mwaliHuyu ndio saiz yake sasa aache kuangaika na vijana wasiojielewa
Je yule tajiri wa FolexMimi naona ni 100% au hiyo 2% ni ya wale wenye utajiri wa kibongo? Gari ndogo na nyumba ya vyumba viwili na laki mbili bank?
Yule sio Tajiri ni TAPELI(MWIZI) hana hela alichofanya ni kuja na idea akawapiga wana JF,kwahiyo ni TAPELI wa kimtandao!!Je yule tajiri wa Folex
Hahahaaaa halafu wamejenga maghorofa,wanafanya biashara kubwa kubwa au kama kaajiriwa basi anafanya kazi UN mshahara milioni 10 kwa mwezi,watoto wanasoma intaneshino efemu akademia,likizo wanaenda kupumzika kwa wazazi USA na UK.
Wewe ni Le grande mopao mwonkozi mutu ya pakee mingi mingi.Mkuu mimi sio mmoja wao
HahahahaAngekuwa anafanya yote hayo usingepoteza muda humu kudanga
Haya maswala ya kuonea wivu watu kwa wanaume haifai
amu....... tafadhali huo mkojo usiturukie hahahahahaPole mdomo bakuli inaelekea kitandani perfomanbe zero, mimi wangu mbona ananikojoza sana yaani kojoo kama lote na pesa siyo sent kama zako naongelea pesa hapa anazo za kumwaga.
Jitahidi mkuu uwe fit sector zote
HahahahahWewe ni Le grande mopao mwonkozi mutu ya pakee mingi mingi.