screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Na magari wanazomiliki sio Toyota, ni BMW,Benz,Audi,Range,n.kHahahaaaa halafu wamejenga maghorofa,wanafanya biashara kubwa kubwa au kama kaajiriwa basi anafanya kazi UN mshahara milioni 10 kwa mwezi,watoto wanasoma intaneshino efemu akademia,likizo wanaenda kupumzika kwa wazazi USA na UK.