Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sijakosea.. Mustafa ni beki wa kati ila anacheza pembeni kama mbadala tu wa Boxer....kingine yule beki namba mbili (Mustafa) alikuwa anachelewesha mashambulizi kwa tabia yake ya kurudisha mipira nyuma...
Kama sijakosea.. Mustafa ni beki wa kati ila anacheza pembeni kama mbadala tu wa Boxer
Kama Juma Abdul yuko fit sioni sababu ya kukaa benchi na kucheza mtu ambae ni mzito kusukuma timu mbele.
X100 ampange yule dogo rasta ni mwepesi sana
Namba 3 mkuuKuna umuimu wakupata beki namba mbili mbadala wa Gadiel uyu Ally Mtoni awezi kabisa ziba pengo la Gadiel.
Kwa vipi sasa? Timu imesajili ilivyoweza, pia muda utaongea. Hata kwa Chirwa ilikuwa hivi hivi, baadaye mkabadilika. Nashauri tuwape robo ya kwanza ya mzunguko mpaka dirisha dogo tutakuwa tumejua mbivu na mbichi. Malalamiko ya wakati huu hayaleti afya kwa klabu wala hayatendi haki. Uwezo wa Mwinyi sote tunaujua, isipokuwa baadhi ya mashabiki mmeanza kucheza mziki wa mikia, wakiponda mnaunga bendi bila kutafakari. Muda ni jibu la kila jambo, tusiwe kikwazo kwa timu yetu wenyewe, tuwe wenye hekima.Sawa mkuu, wageni waliopo ni wa kawaida sana.tunataka wawe ni viwango vya juu ya wazawa.
Nilidhani mnajua kuwa msimu huu ndiotunajenga timu baada ya kuwaacha baadhi ya wachezaji kufuatia viwango vyao. Tuwe wakweli, Tambwe alishafika mwisho kwa umri ule. Makambo mpira ni biashara pia, timu haikuwa na fedha kipindi anauzwa. Kamusoko pia tayari pancha za uzeeni zishaanza. Timu ilihitaji vijana wenye kasi. Tatizo tunasahau upesi mno, mnataka kushinda tu, kwa timu gano hasa mliyokuwa nayo msimu uliopita? Ajibu hakuachwa, aliwapiga chenga viongozi akapewa mkataba wa awali na mikia. Swali kwenu enyi walalamikaji, mlikuwa na pesa ya kumwongezea mkataba Ajibu kabla haujaisha? Vipi kwa Gadiel ilikuwaje kwani?Nakubaliana na wewe kwenye 1, 2, 3, 7 na 9.....Jana nimeangalia asilimia 90 ya Mechi...Makambo na Tambwe hawakupaswa kuuzwa/kuachwa...timu haina continuity kutoka msimu uliopita...Yaani kuna timu 'mpya' yenye wachezaji waliokusanywa kutoka maeneo mbalimbali..it is a shame... kwa kikosi cha jana kilichoanza kilikuwa na wachezaji watatu tu wa msimu uliopita...Yondani, Tshishimbi na Feisal...huwezi kushinda katika hali hii....Mimi siyo kocha lakini nafahamu timu ikiwa na wachezaji karibu wote wageni ni ngumu kushinda...Kwa hakika kulikuwa na kosa la kiufundi...Yanga kwa kikosi cha jana ilipaswa iwe na wachezaji angalau sita wa msimu uliopita... Halafu wachezaji wa Yanga niliwaona kuwa hawana determination...hawana dhamira ya ushindi...baadhi yao hawakimbilii mipira bali wanataka mipira ifike au itue miguuni mwao....kingine yule beki namba mbili (Mustafa) alikuwa anachelewesha mashambulizi kwa tabia yake ya kurudisha mipira nyuma...
Apewe muda! kumbukeni ameipigania Sana Yanga msimu uliopita na hata Sasa.Huyu bwana Zapesa akae mkao wa kusepeshwa.
Umetisha mkuu, ndio kwanza mwanzo huu.Yanga 1-1 Kariobangi Sharks
Yanga 1-1 Township R
Township 0-1 Yanga
Yanga 0-1 Ruvu Shooting.
Kwa jinsi matokeo yalivyo kwenye mechi hizo 4 Ambazo 3 ndio game za mashindano unapata majibu kuwa safu ya ushambuliaji haiko sawa.
Haiko sawa kwa maana wote kule mbele ni wageni hawana muunganiko mzuri tofauti na eneo la ulinzi ambalo lina wageni + wenyeji ndio maana timu hairuhusu magoli hovyo.
CHA MSINGI NI..?
Je viungo wachezeshaji na winga wanapika nafasi za magoli lakini washambuliaji wanapoteza?
Au washambuliaji wanafata mipira nyuma sana baada ya viungo kushindwa kazi yao na kufanya mbele kukosa nguvu??
Jibu litabaki hakuna muunganiko mzuri wa kushambulia kuanzia katikati kwenda mbele... Kiungo namba 8 NA WINGA ZOTE ya juu na chini wanatakiwa kupika nafasi za maana sio blaa blaa ilimradi tu mpira umeenda mbele bila uelekeo sahii na lawama zinabaki kwa washambuliaji.. Sasa hii ni kazi ya kocha kuweka watu sahihi au kurekebisha.
Kwa mechi hiz chache walizocheza Yanga namuona BALAMA ana nafasi kubwa.
Wana Yanga wanatoa maoni yao kuhusu timu yao... We hutakiNilidhani mnajua kuwa msimu huu ndiotunajenga timu baada ya kuwaacha baadhi ya wachezaji kufuatia viwango vyao. Tuwe wakweli, Tambwe alishafika mwisho kwa umri ule. Makambo mpira ni biashara pia, timu haikuwa na fedha kipindi anauzwa. Kamusoko pia tayari pancha za uzeeni zishaanza. Timu ilihitaji vijana wenye kasi. Tatizo tunasahau upesi mno, mnataka kushinda tu, kwa timu gano hasa mliyokuwa nayo msimu uliopita? Ajibu hakuachwa, aliwapiga chenga viongozi akapewa mkataba wa awali na mikia. Swali kwenu enyi walalamikaji, mlikuwa na pesa ya kumwongezea mkataba Ajibu kabla haujaisha? Vipi kwa Gadiel ilikuwaje kwani?
Nawasihitusiwe wajuaji wengi, tutavuruga timu kwa kusikiliza maneno ya mbumbumbu fc. Zahera tunamjua tangu msimu uliopita, no ujinga kumtilia shaka kwa mechi za awali kwenye timu changa. Huo sio mpira hata kidogo, ni ushabiki wa vijiweni.
Kwani kocha anapanga timu kwa kuangalia vigezo gani? Pia unaweza kutuambia hali ya wachezaji na perfomanceyao kwenye mazoezi? Kupanga kikosi huk umtaani kila mtu anaweza, lakini kwanza tupate majibu hayosawa kabisa...mimi binafsi ni mshabiki wa Zahera na napenda aendelee kuifundisha Yanga...ilanaomba asaidiwe kwa ushauri...haikuwa sahihi kwa Yanga kuanza na wacchezaji watatu tu wa msimu uliopita....ni kosa kubwa ambalo limei-cost Yanga....lile goli limefungwa kizembe sana...kulikuwa hakuna covering defender baada ya Yondani kupitwa...na halafu Shikalo alitoka mapema...ningekuwa mimi ni kocha jana kikosi changu kingekuwa kama ifuatavyo: Shikalo, Boxer/Juma Abdul, Sonso, Yondani, Moro, Tshishimbi, Balama, Feisal, Molinga/Balinya, Raphael Daudi/Ngasa, Sibomana.
Yaani watu ni wasahaulifu hatari, leo hii wanambeza Zahera? Tumerogwa sie si bure!!Apewe muda! kumbukeni ameipigania Sana Yanga msimu uliopita na hata Sasa.
Kuna tofauti kati ya lawama na maoni. Ona mdau aliyetoa maoni hapo juu 3llyEmma: kwa kuchambua mechi za awali. Hayo ni maoni, lakini mtu anayembeza kocha na wachezaji hatoi maoni. Pia unalalamika kwa mechi moja tu,unajua mpira? Unasema timu ni mpya halafu unalalamika, unasema timu iliachawachezaji wakati mpaka msimu unaisha timu ina madeni tupu, huoni haya si maoni tena bali ni mtazamo hasi? Tunasahau tulipotokaWana Yanga wanatoa maoni yao kuhusu timu yao... We hutaki
Nilidhani mnajua kuwa msimu huu ndiotunajenga timu baada ya kuwaacha baadhi ya wachezaji kufuatia viwango vyao. Tuwe wakweli, Tambwe alishafika mwisho kwa umri ule. Makambo mpira ni biashara pia, timu haikuwa na fedha kipindi anauzwa. Kamusoko pia tayari pancha za uzeeni zishaanza. Timu ilihitaji vijana wenye kasi. Tatizo tunasahau upesi mno, mnataka kushinda tu, kwa timu gano hasa mliyokuwa nayo msimu uliopita? Ajibu hakuachwa, aliwapiga chenga viongozi akapewa mkataba wa awali na mikia. Swali kwenu enyi walalamikaji, mlikuwa na pesa ya kumwongezea mkataba Ajibu kabla haujaisha? Vipi kwa Gadiel ilikuwaje kwani?
Nawasihitusiwe wajuaji wengi, tutavuruga timu kwa kusikiliza maneno ya mbumbumbu fc. Zahera tunamjua tangu msimu uliopita, no ujinga kumtilia shaka kwa mechi za awali kwenye timu changa. Huo sio mpira hata kidogo, ni ushabiki wa vijiweni.
Mmh mkuu, labda nalo neno.Kwa vipi sasa? Timu imesajili ilivyoweza, pia muda utaongea. Hata kwa Chirwa ilikuwa hivi hivi, baadaye mkabadilika. Nashauri tuwape robo ya kwanza ya mzunguko mpaka dirisha dogo tutakuwa tumejua mbivu na mbichi. Malalamiko ya wakati huu hayaleti afya kwa klabu wala hayatendi haki. Uwezo wa Mwinyi sote tunaujua, isipokuwa baadhi ya mashabiki mmeanza kucheza mziki wa mikia, wakiponda mnaunga bendi bila kutafakari. Muda ni jibu la kila jambo, tusiwe kikwazo kwa timu yetu wenyewe, tuwe wenye hekima.
Safi sana kwa analysis yako murua. Vizuri kuwaza kivingine pia.Mmmmh ok...nilidhani kuwa tunatoa maoni ya kujenga kwa ajili ya timu kumbe wengine mnaona ni ushabiki wa mmnachoita vijiweni...kwa hiyo wote tuwe na mawazo yanayofanana kwa ajili ya timu...kwa hiyo maoni yako tofauti na mimi (sisi) siyo ya kijiweni ila sisi ndiyo ya kijiweni...wewe ndiye unayejua lililo jema na baya kwa timu ..very interesting...unaweza ukawa na hoja lakini uwasilsishaji wako wa hoja ulioambatana na dharau na kejeli kwa wengine wenye mawazo tofauti na wewe una walakini sana...anyway niishie hapa maana mwelekeo wake nadhani itakuwa ni kurushiwa matusi....sioni hata na haja kuendelea kutoa maelezo ya kilicho nyuma ya sualala Ajib, Gadiel, Tambwe na Makambo...