Tabu kocha wetu juaji sana bana.Nadhani ni suala la kumpa muda na kuwekeana malengo baada ya kufanya usajili kulingana na matakwa yake.
Tunataka ku achieve nini mwisho wa msimu? Aambiwe kwanza tuchukue ubingwa au nafasi ya pili pamoja na kombe la FA. Akishindwa kufikia malengo hayo, itakuwa vyema aondolewe.
Sasa hivi ni mapema sana
Tumpe msimu huu. Tutajua mbivu na mbichiTabu kocha wetu juaji sana bana.
Sio muda wa lawama mkuu.. ni muda wa kuwatumia vzr wachezaji waliopo.Huyu kocha wetu aliwaza nini kumuacha T. Kamusoko aliyecheza AFCON na Zimbabwe na kuleta magalasa? Kwa nini asirudishwe fighter Chirwa na hata David Luhende?
Hata mimi nimeanza kuamni. Washambuliaji wote aliosajili hawajafunga hata goli moja la 'move'. Yaani....Zahera uwezo mdogo. Hakuna kocha bogus kama yule anayefundisha kupaki basi, huyo sio kocha na Zahera is one of them. Bure kabisa.
Toka mechi za majaribio mpaka hizi za kimashindano timu yangu ya Yanga SC chini ya Mwinyi Zahera imeanza kunitia shaka sana, tena sana tu. Zahera naona alianza kupotea maboya toka msimu ulopita kwa jjinsi alivyoshughulikia suala la Yondani na Kakolanya na pia kumpa unahodha Ajibu.
Kwa hii timu ya sasa nayaona haya:
1. Timu haina mpangilio/muunganiko toka nyuma hadi mbele
2. Hatuna m(wa)shambuliaji wa kutegemewa-mtu wa kumaliza mechi
3. Timu ya kwanza imejaa wageni wa nje wasio na uwezo mkubwa
4. Kocha mbishi sana na hataki kubadilika
5. Si busara kumpa unahodha mgeni na wenyeji wazoefu wapo
6. Kocha anakosa mbinu za kufanya wakati mechi inaendelea hasa tukiwa tumefungwa
7. Kuna wachezaji hawakustahili kuachwa au kuuzwa; Kamusoko, Tambwe, Makambo hata Ajibu
8. Kocha kapunguziwa majukumu sasa afanye kazi yake
9. Timu haina wachezaji wenye 'fighting spirit', wapo wapo tu
10. Timu haina kiongozi ndani ya dimba-nahodha anapwaya
11. Kocha ni bingwa wa visingizio wakati tatizo ni lake
12. Zahera kwa sasa kashika kitasa kilichoandikwa Exit Door ( In Edo Kumwembe's voice).
Kwa sasa yangu ni hayo tu.
[/QUO
wewe shabiki upepo ,haujui mpira na kwa nini zahera mashabiki wa simba hampendi...simba yenye kocha au team bora imefika wapi
wewe haujui mpira na mnaendeleza kampeni zenu za kumchukia zahera ...mashabiki wa simba mnakwama wapi..UD SONGOOOOOOOOOOOOOOOOZahera uwezo mdogo. Hakuna kocha bogus kama yule anayefundisha kupaki basi, huyo sio kocha na Zahera is one of them. Bure kabisa.
Broo hapo kwa makambo, Kwan aliuzwa au tulinyang'anywa. Makambo hakuwa mchezaji wetu wa kumnunua ila alikija yanga kwa mkopo na tulishindwa masherti ya kumnunua makambo. Yanga haijamuuza ila klabu yake ilimuuza makamboToka mechi za majaribio mpaka hizi za kimashindano timu yangu ya Yanga SC chini ya Mwinyi Zahera imeanza kunitia shaka sana, tena sana tu. Zahera naona alianza kupotea maboya toka msimu ulopita kwa jjinsi alivyoshughulikia suala la Yondani na Kakolanya na pia kumpa unahodha Ajibu.
Kwa hii timu ya sasa nayaona haya:
1. Timu haina mpangilio/muunganiko toka nyuma hadi mbele
2. Hatuna m(wa)shambuliaji wa kutegemewa-mtu wa kumaliza mechi
3. Timu ya kwanza imejaa wageni wa nje wasio na uwezo mkubwa
4. Kocha mbishi sana na hataki kubadilika
5. Si busara kumpa unahodha mgeni na wenyeji wazoefu wapo
6. Kocha anakosa mbinu za kufanya wakati mechi inaendelea hasa tukiwa tumefungwa
7. Kuna wachezaji hawakustahili kuachwa au kuuzwa; Kamusoko, Tambwe, Makambo hata Ajibu
8. Kocha kapunguziwa majukumu sasa afanye kazi yake
9. Timu haina wachezaji wenye 'fighting spirit', wapo wapo tu
10. Timu haina kiongozi ndani ya dimba-nahodha anapwaya
11. Kocha ni bingwa wa visingizio wakati tatizo ni lake
12. Zahera kwa sasa kashika kitasa kilichoandikwa Exit Door ( In Edo Kumwembe's voice).
Kwa sasa yangu ni hayo tu.
Ila kocha angeomaa klabu ingetoa fungu abaki, hawa waliopo ni watalii tu.Broo hapo kwa makambo, Kwan aliuzwa au tulinyang'anywa. Makambo hakuwa mchezaji wetu wa kumnunua ila alikija yanga kwa mkopo na tulishindwa masherti ya kumnunua makambo. Yanga haijamuuza ila klabu yake ilimuuza makambo