Hii yaweza kua kweli ?

Hii yaweza kua kweli ?

Joined
Jul 27, 2011
Posts
29
Reaction score
8
Nikiwa naangalia TBC mchana leo, kuna kipindi kilichokua kikieleze asili ya vazi la khanga kuitwa "khanga" akihojiwa bi-mkubwa mmo1 aliekua akiongea kwa pronouce ya kizenji alisema asili ya Khanga (vazi) inatokana na khanga (ndege hai) na reason alizotoa ni kwmb khanga za kwnz kbs kutengenezwa zilikua za rangi Black & White, ambazo ndy natural colour ya khanga- ndege! Kuna ukweli ktk hili?wenye utambuzi nijuzeni
 
Back
Top Bottom