david08606
Member
- Jul 18, 2013
- 47
- 4
Nilipata chuo st francis morogoro bachelor of doctor in medicine,ckuwahi kupata tatizo lolote ktk kujaza form na majina waliyoyatoa ckuwemo bt leo nina log in kuangalia loan status naambiwa cjapata mkopo. Hapo nafanyaje wadau maan tumbo joto hapa