JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Hapo ni mtaa wa Lindi, kipande kati ya Msimbazi street na Shaurimoyo?Hafiki mgeni hapo, hiko ni kipande cha kkoo kinachotubeba sisi waswahili kununua Kanzu za bei chee za kuvamia minuso na hijab za picha. Na kugombania daladala.
Back to the topic hapo pako kwenye mpango wa ujenzi kutoka hapo kupanda mpaka mtaa wa arusha.