Hiki Chuo kinafundisha nini kwa hii ada

Hiki Chuo kinafundisha nini kwa hii ada

gammaparticles

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2024
Posts
1,407
Reaction score
3,855
Kumbe kuna vyuo vinazidi hata ada ya IST Tanganyika

1723915764390.png
 
Kuna mwanamziki sikumbuki nani aliimba ".🎶...kama elimi ghalama jaribu ujinga....🎶"

Labda ni rare knowledge/ talent wanafundisha, ukitoka hapo ni swala la muda tu unaingia kwenye mfumo wa upigaji.
 
Kuna mwanamziki sikumbuki nani aliimba "....kama elimi ghalama garibu ujinga...."

Labda ni rare knowledge/ talent wanafundisha, ukitoka hapo ni swala la muda tu unaingia kwenye mfumo wa upigaji.
Ramadhan Masanja(Banza stone) RIP
 
Back
Top Bottom