Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku moja moja huwa Napata burudani mkuu.Mkuu Malila kumbe na huku upo?nilijua ni kwenye kilimo na mifugo tu.
ndio, mi jangwani mwanzo mwishoPoa usijari mkuu.Hope wewe Ni Yanga damu!
twite yupo wapiWalipoona ana nywele design ya Mbuyu Twite wakaamua wamsajiri wakidhani ana kipaji kama cha Twite.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Anauza samaki kule feri mkuutwite yupo wapi
Usiamini kila unachoambiwa huyo jamaa anaitwa Chikumbalaga sio mzima kiakili hata aliyeweka picha huenda nae ana matatizo kidogoWalipoona ana nywele design ya Mbuyu Twite wakaamua wamsajiri wakidhani ana kipaji kama cha Twite.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
mmmh