Hiki hapa kifaa kipya cha Simba kutoka Zambia chatua nchini!

Ukiangalia vizuri, macho yake yana unjano kwa mbali na nywele/rasta/oman hair zina traces za njano, hii ikoje?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiangalia vizuri, macho yake yana unjano kwa mbali na nywele/rasta/oman hair zina traces za njano, hii ikoje?
Mkuu Malila kumbe na huku upo?nilijua ni kwenye kilimo na mifugo tu.
 
Itabidi apitie kwa nyoso maana nae nasikia kamaliza adhabu yake ya kupapasa wenzake
 
Huyu mbona kama mdogo wake Bosu wanga, na hata nywele zake kaweka njano.
 
Walipoona ana nywele design ya Mbuyu Twite wakaamua wamsajiri wakidhani ana kipaji kama cha Twite.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Usiamini kila unachoambiwa huyo jamaa anaitwa Chikumbalaga sio mzima kiakili hata aliyeweka picha huenda nae ana matatizo kidogo
 

Makao Makuu ya wapi ?
Hata Blagnon si mliambiwa eti Arsnenal wanamtaka alivyo mpiga mabao!! Ona mara ngapi alikuwa ndani ya 18 players. Usanii tuu mnaliwa lkn bado mnashangilia upuuzi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…