Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Kwenye kikosi cha Kwanza ni Che Malone pekee aliyeachwa kwa sababu ya majeraha
Shabiki la utopolo pumzika umeshinda uwanja wa taifa toka asubui itakua akili yako haipo sawasawaKuna kila dalili ya kupigwa 6.
Ameshindia mihogo analilia point 3. Jinga sana hawa jamaa, yaani upewe 3 hata refrii au afisa yeyote wa TFF hakuwepo uwanjani.Shabiki la utopolo pumzika umeshinda uwanja wa taifa toka asubui itakua akili yako haipo sawasawa