Hiki hapa kikosi kipya cha taifa stars; Ajibu ndani

Manyika junior! Haka kajamaa uwezo wake wa kawaida sana! Wapo walinda mlango wengi wazuri ambao wangeweza kumsaidia Aishi endapo atakuwa majeruhi
 
Bado tuna safari ndefu sana kama Taifa! Ila tutafika tu!
 
Manyika junior! Haka kajamaa uwezo wake wa kawaida sana! Wapo walinda mlango wengi wazuri ambao wangeweza kumsaidia Aishi endapo atakuwa majeruhi
kwel kk amekurupuka sana
 
Nimehesabu hapo kuna wachezaji 21.
Katika hao 21 Wachezaji Waislamu wako 18.
Watatu tu waliobaki ndio Manaswara.
Daaah... Waislamu wako juu aisee...
 
Nimehesabu hapo kuna wachezaji 21.
Katika hao 21 Wachezaji Waislamu wako 18.
Watatu tu waliobaki ndio Manaswara.
Daaah... Waislamu wako juu aisee...
Kwa hiyo hadithi yako inafundisha nini mkuu
 
tatizo huyu kocha hazunguki kuangalia wachezaji, mpaka sasa hivi hajapata wachezaji wa kudumu taifa stars kila anapotangaza timu kuna sura mpya nyingi.Timu ya taifa inabidi iwe na wachezaji waliokaa na kuzoeana muda mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…