Hiki kiatu 95,000/= napigwa au?

Hiki kiatu 95,000/= napigwa au?

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Wakuu habari.

Kuna kiatu hapa jamaa anataka niuzia 95,000/=

Je ni bei yake au napigwa. Napenda sana buti so nimekielewa.
1624011270539.png
 
Njoo Moshi nikupeleke kwenye duka la bidhaa za ngozi ichukue buti ya maana hizo za kichina hovyoooo sana
Siku ukipita hapo share namba jamaa atutumie kwa bus.
 
Huwezi pata kiatu brand name kama Fendi kwa bei hiyo na mazingira hayo.Hiyo sio ngozi,kama umechukua pole yako kamanda.
 
Kiatu ni soli.

Hicho kiatu soli yake ni kama ile yenye mchezo wa kukatika
 
Back
Top Bottom