Hiki kiatu 95,000/= napigwa au?

Hiki kiatu 95,000/= napigwa au?

Wakuu habari.

Kuna kiatu hapa jamaa anataka niuzia 95,000/=

Je ni bei yake au napigwa. Napenda sana buti so nimekielewa.
View attachment 1822646
Kama unaishi dar umepigwa ila kama ni mkoani ndo bei zake hizo, usikatishwe tamaa na watu wanaokwambia umepigwa kiatu sio leather og lakini utavaa kwa muda hata sole yake ni ngumu pia, au unataka watoto waje kurithi? Wachina wamekuja kuturahisishia maisha sisi watu wa kawaida mkuu 😀 lakini kama uwezo unaruhusu chukua original designers' shoes ila mziki wake..... Soma bei

Screenshot (3).png
 
Wakuu habari.

Kuna kiatu hapa jamaa anataka niuzia 95,000/=

Je ni bei yake au napigwa. Napenda sana buti so nimekielewa.

Wakuu habari.

Kuna kiatu hapa jamaa anataka niuzia 95,000/=

Je ni bei yake au napigwa. Napenda sana buti so nimekielewa.
View attachment 1822646
Kwa haraka-haraka hiyo soli hapo hamna kitu mbali ya hiyo ngozi.

In the name and spirit of UZALENDO hebu wacheki hawa upate leather original na kiatu cha kuvaa mpaka ukichoke👇👇👇👇
https://klicl.co.tz/
 
Kwa haraka-haraka hiyo soli hapo hamna kitu mbali ya hiyo ngozi.

In the name and spirit of UZALENDO hebu wacheki hawa upate leather original na kiatu cha kuvaa mpaka ukichoke👇👇👇👇
https://klicl.co.tz/
Web haifungui bei na majina ya viatu. Au wana physical shop wapi?
 
Back
Top Bottom