Wadau naomba kujua hiki kibaiskeli au kipikipiki au kimwendo kasi hata sijui kinaitwaje ila nadhan kinafahamika machoni mwetu si kigeni kiviile.
Naomba kujua kwa hapa bongo kinauzwa wapi na bei yake ikoje either kiwe used au kipya
View attachment 3093889