bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Jul 3, 2023 #1 Feni, AC, zimepumzika leo malaika aliyeshika zamu siku ya leo kaupiga mwingi, apewe maua yake. Tunaomba na weekend moja mshika zamu atumwagilie moyo na kijibaridi kama hiki. Kizuri sana kwa kufanyia mazoezi ya kutoka jasho hiki, hasa mkiwa wawili.
Feni, AC, zimepumzika leo malaika aliyeshika zamu siku ya leo kaupiga mwingi, apewe maua yake. Tunaomba na weekend moja mshika zamu atumwagilie moyo na kijibaridi kama hiki. Kizuri sana kwa kufanyia mazoezi ya kutoka jasho hiki, hasa mkiwa wawili.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Jul 3, 2023 #2 😀😀😀afu kuna kina sisi ni burudani tuuu aweeke hivi wiki nzima