Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

"Anawambia wajumbe wampe kura nyingi mpaka aliemteua Mwigulu apate aibu"

Hapo ndipo tango pori zilipoegemea ktk uzi wako mkuu. Pengine hujui suala la kudumisha fikra sahihi za mwenyekiti taifa wa chama tawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye ni wa kuja kwanza ana mkia mfupi, Mwigulu wa nyumbani...home boy ndani ya CCM..kazi kwenu.

Ndiyo maana nasema kutakuwa na vita kati ya wafia chama na migrants....

Inapofikia hatua migrants kupewa umuhimu ndani ya chama kuna tatizo.. tumeona Kwenye chaguzi ndogo wafia chama wakibakia midomo wazi baada ya kura za maoni kufutwa huku wahamiaji wakigonganisha glass.

Wafia chama wajiandae kukifia chama zaidi maana konvoi yote (bogi wa lugha ya JKT) iliyohamia CCM toka CDM hakuna wa kashidwa kura za maoni. Hutaki unataka basi kaa kimya kuepusha shari.
 
CCM Asilia hawawezi kukubali

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
CCM Asilia hawawezi kukubali

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kaka believe me ukiwa ndani ya CCM unakufa na tai yako shingoni...

Hivi ile CCM iliyompa shuguli pevu Rais Mkapa hadi akakubali Mh. Kikwete awe mgombea urais wa CCM wakimbwaga bila huruma chaguo la Mwalimu Mzee Salim Ahmed Samim unajua ipo wapi sasa?

Baba kaa kimya...kuwa ndani ya CCM kunahitaji uvumilivu wa hali ya juu saana...kwenye CDM kuna uhuru wa balaa hata ukisema Mh. Mbowe i mwizi hata kama hajakuibia nani kwa kukukamata ukatoe ushahidi? ..mdomo mali yako.
 
Umetumwa na Mwigulu umchafue Kitila Wewe. Huo ni uzandiki na unaa.
 
Mkuu Mjenga Nchi, mimi ni Tomaso, hivyo siamini haya uliyoandika, yametamkwa na Prof. Kitila, maadam umesema audio ipo, jee naweza nikakuomba uipandishe humu ndipo sisi akina Tomaso tukuamini?, au una ihifadhi ili uiwasilishe kule kunakohusika kama ushahidi?.
P
 
The guy is smart I do not think he can do that while knowing that will cost his candidacy.
Yet if you have an audio clips why don’t you attach them here?
Cowardice wont assist you, it is better to substantiate your allegations with facts short of that it is imbecility of high degree.
 

Wewe kma umekula pesa za Kitila utazitapika, make hatolichukua hilo jimbo, ataambulia aibu tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha majungu wewe mwana jf yote hayo aliyoyafanya alikuwa akikualika kuyashuhudia. Kama na wewe unalitaka jimbo pambana kivyako siyo kwa kuchafuana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kwenu hakuna TAKUKURU?
Nikusaidie wapigie simu 113

Luckman1
 
Kiburi cha mwisho wa msimu hukijui si ndio walichonacho wabunge waliotimuliwa CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…