Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

Dogo, CCM ina namna yake ya kupata taarifa za wanachama wake na wagombea wake. CCM sio Chadema au ACT Wazalendo. Unafikiri Mzee Mangula aliitwa "Mzee wa Mafaili" kwa bahati mbaya?
 
Tuache hizi siasa za majitaka. Nina miaka zaidi ya mitano sijawahi kufika Kinampanda. Tafadhali sana
hivi Prof wewe kuhama ACT Wazalendo na kuhamia CCM ulivutiwa na itikadi ya CCM au ulivutiwa na kipi?
 
hivi Prof wewe kuhama ACT Wazalendo na kuhamia CCM ulivutiwa na itikadi ya CCM au ulivutiwa na kipi?
Tanzania hatuna tatizo la itikadi, tuna tatizo la watu. Ushawahi kuona mtu yoyote akijadili itikadi Tanzania achilia mbali kulalamikia?
 
Tanzania hatuna tatizo la itikadi, tuna tatizo la watu. Ushawahi kuona mtu yoyote akijadili itikadi Tanzania achilia mbali kulalamikia?
Kwahiyo wanasiasa wetu wanaamini katika fursa ya kuongoza na siyo itikadi right ?
 
Kwahiyo wanasiasa wetu wanaamini katika fursa ya kuongoza na siyo itikadi right ?
Itikadi na kuamini ni kitu kimoja. Kwa lugha nyingine kile mtu anachoamini ndio itikadi yake.

Sasa Tanzania hatuna tatizo la itikadi/imani bali tabia.
 
Mkuu, kama ulivyotabiri miaka kama 2 kabla, kuwa Mh. Magufuli atakuwa rais 2015, Kitila ndio mrithi wa Magufuli 2025. It is a matter of time. Itunze comment hii.

Pimbi awe Rais? Hahahaa! URAIS utakuwa RAHISI.
 
Mkuu, kama ulivyotabiri miaka kama 2 kabla, kuwa Mh. Magufuli atakuwa rais 2015, Kitila ndio mrithi wa Magufuli 2025. It is a matter of time. Itunze comment hii.
Issue ya kupokezana urais kati ya Mkristo na Muislamu itakuwaje?. Anayempokea Magufuli anatakiwa kuwa ni Muislamu.
P
 
Itikadi na kuamini ni kitu kimoja. Kwa lugha nyingine kile mtu anachoamini ndio itikadi yake.

Sasa Tanzania hatuna tatizo la itikadi/imani bali tabia.
Hatuna Tatizo kivipi wakati watu hawafuati itikadi za vyama huko kwenye vyama vya siasa badala yake wanafuata fursa za kuongoza tu haijalishi hata kama chama anachoongoza kinaitikadi asiyoiamini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatari ngoja tuone inawezekana JIWe akagawa jimbo la Lameck Madelu ili wagombee wote na KM.
 
Tuache hizi siasa za majitaka. Nina miaka zaidi ya mitano sijawahi kufika Kinampanda. Tafadhali sana
Kutofika Kinampanda kwa miaka mitano nalo ni jambo baya mkuu, we ni KM wa wazara ya maji. Ina maana huoni shida zetu za maji huku, tunatumia maji chumvi na tunayapata a kilomita away. Jitahidi ufike mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…