Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

Tatizo ni kwamba Kitila yupo na mpishi na huyu jamaa yetu naye anategemea senti za magae kuwapa ili wamrudishe lakini ukiongea na majority wengi wanamtaka Kitila na pesa wanavuta kotekote
hatari, yasije mkuta ya Rage.
 
Lete ushahidi ndiyo tutajua kuwa unaongea ukweli. Bila ushahidi tutajua kuwa umetumwa kwa ajli ya kumchafua
Zaidi ni kuwa it's unlikely kwamba Profesa huyu anaweza akatamka maneno hayo uliyoyataja hapa, kuhusu uteuzi wa Mwigulu. Jamani waacheni watu na bahati zao waendelee kubahatika, msiwawekee kauzibe
 
Umetumwa na Mwigulu umchafue Kitila Wewe. Huo ni uzandiki na unaa.
Wala hajatumwa na Mwigulu. Inaonyesha kama kuna mtu asiyejulikana ana mpango wa kuwagonganisha hawa wawili ili yeye aje aibuke kirahisi, wenyewe wakiwa wamemalizana
 
Kutofika Kinampanda kwa miaka mitano nalo ni jambo baya mkuu, we ni KM wa wazara ya maji. Ina maana huoni shida zetu za maji huku, tunatumia maji chumvi na tunayapata a kilomita away. Jitahidi ufike mkuu.
Pengine alishapajua na ndiyo maana anaogogopa kwenda huko kwa sababu labda akionekana tu ataanza kuandamwa kuwa amekwenda kufanya kampeni. We fikiria hajawahi kufika huko muda wote huo lakini bado anatuhumiwa, angekuwa ameshakanyaga huko si ndiyo ingekuwa balaa!
 
Sisi tusiokua kati ya makundi hayo mawili mnatuweka wapi maana ndiyo leo nayasikia
Nyie mtakuwa ni ng'ombe mliokatwa mikia. Maana CCM ya sasa ina makundi makuu matatu tu.
Kuna CCM-asili (hawa wamekuwa waaminifu kwa CCM wakati wote, wamekuwa wakitumiwa kama toilet paper, kwa sasa hawana thamani yoyote, wakifungua midomo yao hutishiwa kutimiliwa. Mfano mzuri ni kama Kinana, Nape, Mwigulu, Makamba)

Kuna CCM-chotara (hawa ni wale walikuwa upinzani, wakafika bei, wakasajiriwa na CCM kwa malipo na ahadi za kupewa vyeo. Hawa ndio wanakula matunda ya CCM kwa sasa. Mfano wake ni Dr.Kitila Mkumbo, Waitara, Dr. Slaa)

Halafu kuna CCM-waliokatwa mikia (Hawa walikuwa CCM, wakati wa heka heka za uchaguzi mkuu wa 2015 wakatimkia upinzani, halafu baadaye wakarejea tena CCM. Hawa wengi wao wako benchi, hawajui hatma yao, hawaaminiki na hawakubaliki. Wapo wapo tu. Hawana pa kwenda na hawana cha kufanya. Wanateseka sana. Mfano wake ni Lowassa, Sumaye na wapambe wao.)
 
Kutofika Kinampanda kwa miaka mitano nalo ni jambo baya mkuu, we ni KM wa wazara ya maji. Ina maana huoni shida zetu za maji huku, tunatumia maji chumvi na tunayapata a kilomita away. Jitahidi ufike mkuu.
Sasa atatemebelea vijijini vingapi Mapuma Miyoga ....si unajua sisi ni Wazalendo huwa tunaangalia Tanzania yote sio kuangalia nyumbani tu! Sio kama Chttle !
 
Sasa atatemebelea vijijini vingapi Mapuma Miyoga ....si unajua sisi ni Wazalendo huwa tunaangalia Tanzania yote sio kuangalia nyumbani tu! Sio kama Chttle !

Hakika sisi ni Wazalendo kwa mama Tanzania, nikiangalia hali ya shule zetu za secondary na msingi huwa nauona uzalendo wa watu wetu 100%. Huku kwingine serikali huweka pesa za shule za kata, ila sisi wananchi jengeni shule watoto wenu wasome.
 
Sidhani kama anazuiliwa kuja Nyumbani??? Sijui yeye anatoka kijiji gani ila huku kote ni nyumbani, au ndio hana hata kibanda akija atafikia kwa baba???
 
Sidhani kama anazuiliwa kuja Nyumbani??? Sijui yeye anatoka kijiji gani ila huku kote ni nyumbani, au ndio hana hata kibanda akija atafikia kwa baba???
Hajazuiliwa ila wambea sasa macho kwake kila siku lazima mtu aogope. Tuseme ukichongewa kwa Katibu Mkuu au Mwenezi kuwa unafanya kampeni si tayari wanakuwa wamekumaliza? Bora hujaenda ili wakichongea ushahiidi uwepo kuwa hujawahi kukanyaga sehemu hiyo, halafu wambea wanakuwa wamejimaliza wenyewe, wewe uko salama
 
Ukishaonja damu ya mtu, utataka Ile na nyama. Hawa wanaokimbilia vyeo upande mwingne si watu salama Sana japo tunawaita mashijaa na n haki kikatiba laki mm naona ni watu hatari ambao hata ukiwapa nchi watayumbishwa kwa kuwa hawaridhiki maana wao wanaamni madaraka ni sehem ya kuwa na maisha mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…