Hiki kiburi, jeuri na dharau Prof. Kitila Mkumbo nguvu anaipata wapi

Tuache hizi siasa za majitaka. Nina miaka zaidi ya mitano sijawahi kufika Kinampanda. Tafadhali sana
Mkuu wangu wa pale DUCE umesaliti taaluma yako?basi nifanyie nami mpango kwa jiwe nami angalau nile!maana madesa hayaleti noti kabisa!!umenipata mkuu?fanya kweli nakuomba!!
 
Mkuu wangu wa pale DUCE umesaliti taaluma yako?basi nifanyie nami mpango kwa jiwe nami angalau nile!maana madesa hayaleti noti kabisa!!umenipata mkuu?fanya kweli nakuomba!!
Amesaliti je taaluma yake? Wewe ulitaka afanye nini ambacho hajafanya? Ungekuwa wewe kwenye hicho unachotaka afanye unavyotaka wewe ungefanyaje na kwa nini? Kwa sasa unafanya nini ili kufanya hicho unachotaka kiwe ?

Unategemea madesa kubadilisha mazngira yanayokuzunguka? Tujifunze kupunguza kulaumu watu wengine bila sababu za msingi wala hoja zenye mashiko.
 
Haijaandikwa popote, hata huu utaratibu wa mgombea wa CCM kutopingwa pia haujaandikwa popote. Sio kila kitu ni kwa mujibu wa katiba na sheria, mambo mengine ni kanuni tuu na taratibu.
P
Mbona kanuni na utaratibu huo ukitumika kwingine CCM wanakuwa wakali sana? Refer John Momose Cheyo, Lipumba nk.
 
Fitina umesomea au unakipaji?? Hata shetani atashtushwa nahuu uongo...
 
Umetumwa na Mwigulu eeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…