Hiki kicheko cha dharau cha GSM kinaashiria "kama unabisha nitakuonyesha" uhakika Yanga bingwa

Hiki kicheko cha dharau cha GSM kinaashiria "kama unabisha nitakuonyesha" uhakika Yanga bingwa

GSM huwa anatabasamu tu 😂😂 huyu jamaa kweli tajiri
Haongeagi zaidi ya tabasamu
Ila Ommy akili zake 😅😅😅
 
So yy ndo anacheza au unamaanisha atahonga? Sasa kicheko na mpira kuna mahusiano gani...
 
Basi watakuja wajuvi wataanza kumchambua Pozi kwa pozi hapo weeeh badala ya hiyo video🤣🤣
 
Back
Top Bottom