Hiki kicheko cha dharau cha GSM kinaashiria "kama unabisha nitakuonyesha" uhakika Yanga bingwa

GSM huwa anatabasamu tu πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu jamaa kweli tajiri
Haongeagi zaidi ya tabasamu
Ila Ommy akili zake πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
So yy ndo anacheza au unamaanisha atahonga? Sasa kicheko na mpira kuna mahusiano gani...
 
Basi watakuja wajuvi wataanza kumchambua Pozi kwa pozi hapo weeeh badala ya hiyo video🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…