cha utajiriWajuvi wa dini tujuzane
Kuswali mpaka kichwa kipige pushups au unakisugua chini ili upate knuckle ya kichwa?Hujawahi kupigiga push Up mkuu ukaona nini kinatokea kwenye Knukles (Tamka 'Nakoz')
Same applies mtu. Anaposwali sana..
Ilikuwa zamani sana mengine nimeanza kusahau, nimemkumbuka tu yeyeHadithia ilikuaje pls
Halafu mbona wanawake huwa hawapatiMtu wa ibada sana huyo hadi panakuwa na sugu....
Nimemkumbuka yule mpenzi wangu ahiiiii au basi
Haya ahsante mkuu. Sorry kwa usumbufuIlikuwa zamani sana mengine nimeanza kusahau, nimemkumbuka tu yeye
Ndio,sigda ni sawa na sugu kwenye mikono ya mafundi WA kazi ngumu Kama zege . Sigda NI sugu inayotokea Kwa watu waibada .(Ila haimaanishi watu hao NI wema au wasafi kiroho na kimwili)"Mtu wa ibada"
Weee jamaa acha ungese majina gani haya tunaitana mda huu...Mbamizwa kobaa cc Poor Brain