Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Mbamizwa kobaaWeee jamaa acha ungese majina gani haya tunaitana mda huu...
Alafu we ndo wale wanalewa alafu wanalala.mitaroni
Mbamizwa kobaaWeee jamaa acha ungese majina gani haya tunaitana mda huu...
Alafu we ndo wale wanalewa alafu wanalala.mitaroni
Hiyo ni tochi mwamba!kweni uliwahi. Ingia. Mgodini bila tochi?Wajuvi wa dini tujuzane
Huwa tunajisugua na jiwe ili tuonekane tunaswali sana japo sivyo.Wajuvi wa dini tujuzane
Kabisa!! Wanajifanya swala Tano ila ndani ni wachafu kupindukiaHhhh swali lako ni deep kuliko linavyoonekana. Any way kwenda nyumba za ibada haimaanishi ni mwema.
MwenyeweMbamizwa kobaa
Kobaa mbamizwa katumeniMwenyewe
Kila uzi naona ninyi 2 kuna vitaWeee jamaa acha ungese majina gani haya tunaitana mda huu...
Alafu we ndo wale wanalewa alafu wanalala.mitaroni
Acha kutuaminisha uongo Kuna hawo jamaa wanazo ila mambo Yao falao akasomeKwa islamic ni mtu wa ibada sana inaota hiyo sigda
KUfanya ibada sana haimanishi wewe ni mwema sanaAcha kutuaminisha uongo Kuna hawo jamaa wanazo ila mambo Yao falao akasome
Masifa ya ovyoAcha kutuaminisha uongo Kuna hawo jamaa wanazo ila mambo Yao falao akasome
KabisaKUfanya ibada sana haimanishi wewe ni mwema sana
inaandikwa KNUCKLES.Hujawahi kupigiga push Up mkuu ukaona nini kinatokea kwenye Knukles (Tamka 'Nakoz')
Same applies mtu. Anaposwali sana..
Wajuvi wa dini tujuzane
Afu waarabu wenyewe hawanaKwa islamic ni mtu wa ibada sana inaota hiyo sigda
Andika vizuri hapo mwishoniIlikuwa zamani sana mengine nimeanza kusahau, nimemkumbuka tu yeye
Naunga mkono hili jibunimekuelewa sana mkuu
ni jinsi gani. indhihirisha jamaa ni mnafiq na SIJDA ndio inayodhihikisha fika ni mnafiq wa kiwango gani