Mtuvumilie ndo vijana wenu sie,, kama unakijua jina na njia rahis ya kupanga nielekeze mzee AllenLugha uliyotumia kuwasilisha mada yako inasababisha sie wazee tushindwe kuchangia. Wengine wanaita Lugha ya Face book!!
me naona kinanitia hasira tu unakuta naangaika inabaki rangi moja kinavurugikaAisee kitu kizuri sana hicho unazingusha kupanga hizo rangi kinakula akili sana hicho. Changu kilipotea nakitamani sana
Sent using Jamii Forums mobile app
wenyewe walikitupa kibarazanWe ni Mwizi Mkuu, Rudisha kidude cha watu.
tangu jana naangaika nacho tuMagic cube au Rubik cube...fanya kazi ya kufananisha hizo rangi.
Toka jana! Basi IQ yako inaweza ikawa inasoma negative kama kuna hospitali karibu wahi...
Unaweza kukimbia mkuu mana hicho kidude ni ki jumanji, ukicheza vibaya unakaribisha wanyama wa kila aina tena wale wakali wakali.N aje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtt mzuri Shani,,,
pita pita zangu nikakuta hichi kidude kibarazani kwa mzee limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jins ya kupanga hivyo virangi
anaejua jins ya kucheza anipe mautunduView attachment 1300601
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudisha kidude cha mwanangu sijatupa mtoto alikisahau barazani.
Hata wao, kiliwatia hasira ndio maana wakakiweka hapo nje we ukapita nacho.me naona kinanitia hasira tu unakuta naangaika inabaki rangi moja kinavurugika
Sent using Jamii Forums mobile app
izo principal ndo nazitaka mkuu nipo nashindana na manz wangu hapa kucheza so nataka anione mwambaRubik cube! Ni mchezo mgumu sana (ulibuniwa na professor Rubik) na kina principles zake kwenye kumatch same color katika kila upande...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata wao, kiliwatia hasira ndio maana wakakiweka hapo nje we ukapita nacho.
😂😂😂😂Toka jana! Basi IQ yako inaweza ikawa inasoma negative kama kuna hospitali karibu wahi...
miongoni mwa magwiji wa mchezo huo alisema njia rahisi ya kucheza ni kuzipa hizo rangi namba ama herufi. Kwa mfano unaweza kuipa rangi ya Njano herufi "Y" kuwakilisha neno "Yellow" Herufi "R" kuwakilisha neno "Red" rangi nyekundu, Herufi "B" kuwakilisha neno "Blue" rangi ya bluu na herufi "W" kuwakilisha neno "White" rangi nyeupe.Mtuvumilie ndo vijana wenu sie,, kama unakijua jina na njia rahis ya kupanga nielekeze mzee Allen
Sent using Jamii Forums mobile app