king jafu
Senior Member
- Sep 10, 2019
- 148
- 118
Wizi sio mzuri ndio maana ukashindwa kuzipangilia rangiN aje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtt mzuri Shani,,,
pita pita zangu nikakuta hichi kidude kibarazani kwa mzee limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jins ya kupanga hivyo virangi
anaejua jins ya kucheza anipe mautunduView attachment 1300601
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app