Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

Hiki kidude kinaitwaje na kinachezwa vipi?

Rubik cube! Ni mchezo mgumu sana (ulibuniwa na professor Rubik) na kina principles zake kwenye kumatch same color katika kila upande...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ma genius wapo wanakipanga ndani ya dakika moja huku wakiwa wamefungwa macho!!!!!
Wana kariri njia wanazopita mpaka sana maliza then wanafungwa macho then wanapita mule mule ndani ya muda mfupi sana kama dakika moja!!
 
Ngoja siku ujisahau upite nacho kwa mzee lyimo,tutaanza kupitishiwa michango ya harusi kwamba mzee lymo anaoa
 
N aje mazee kutokana na upweke nilionao tangu niachwe na mtt mzuri Shani,,,

pita pita zangu nikakuta hichi kidude kibarazani kwa mzee limo hapa Kawe nikapita nacho sasa nashindwa jins ya kupanga hivyo virangi

anaejua jins ya kucheza anipe mautunduView attachment 1300601

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Kawe beach hapa kwenye Ngalawa nikufundishe kukipanga ukishindwa adhabu yako kuogelea mita 100 kwenda na kurudi.
 
Back
Top Bottom