Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Wamekuwa wezi, nimeshangaa sana.Saivi wamekuwa wabaya sana aise
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu mna hela sana 5k yote unaunga Gb tu
Una kifurushi kingine wakifahamu,au mtandao mwingine utusanue kwenye uafadhali?Watu mna hela sana 5k yote unaunga Gb tu
Yale yale tuInasikitisha sana... Jiunge Jimixie...
Unajipangia bei na GB ngapi unataka kwa siku...
30k na mwezi hutobaoi una stream por.n usiku kucha au?Yale yale tu
Najimixiaga cha 30K na bado mwezi sitoboi
Porn 🤣🤣 siangaliagi mkuu. Kwani we kwa 30K unapewaje?30k na mwezi hutobaoi una stream por.n usiku kucha au?
Tumia Halotel... Sii unayo na hiyo... Nasikia ni nafuu
tcra wanatoa huduma yakujua matumizi yakoWamekuwa waizi sana.. ni vile hatuna namna sababu ya super net yao.
Mimi alhamis nimeunga Gb1.3 nikajiwashia WiFi kwenye desktop, kutuma vi email vya hapa na pale. Nikamaliza nikasearch kitabu flani google yan jumla hata sijamaliza masaa mawili naona ka msg ndugu mteja kifurushi chako cha internet kimekwisha.
Nikaunga tena kile buku mb 750 kusoma email .. ilikuwa ina files 2 za kudownload
Sijamaliza hata hizo mb nazo zikakata
[emoji1787][emoji1787]
Nikarudia kuunga cha 3k gb 1.3 leo mchana kimeisha.
Kabla ya hayo yote, tar 1 nimeunga jimixie cha 20k wanatoa gb 8.. email nikajitahidi nafungulia kwenye simu lakini wapiiii sijatoboa two weeks, tar 6 sina mb hata 1
Voda wanatufilisi sanaaaaa [emoji31]
🤣🤣🤣🤣Nikasema labda kuna mtu anatumia Wifi yangu. nikachange password. wala
Khaa... simu yako itakua ina tatizo...Wamekuwa waizi sana.. ni vile hatuna namna sababu ya super net yao.
Mimi alhamis nimeunga Gb1.3 nikajiwashia WiFi kwenye desktop, kutuma vi email vya hapa na pale. Nikamaliza nikasearch kitabu flani google yan jumla hata sijamaliza masaa mawili naona ka msg ndugu mteja kifurushi chako cha internet kimekwisha.
Nikaunga tena kile buku mb 750 kusoma email .. ilikuwa ina files 2 za kudownload
Sijamaliza hata hizo mb nazo zikakata
🤣🤣
Nikarudia kuunga cha 3k gb 1.3 leo mchana kimeisha.
Kabla ya hayo yote, tar 1 nimeunga jimixie cha 20k wanatoa gb 8.. email nikajitahidi nafungulia kwenye simu lakini wapiiii sijatoboa two weeks, tar 6 sina mb hata 1
Voda wanatufilisi sanaaaaa 😫
Waambieni hatupo tena uchumi wa katiRoho inaniuma sana hapa. Nimenunua GB 3 kwa 5,000 saa tatu na nusu asubuhi, cha Wik. Nimeunga hotspot, mara nyingi nafanya hivi na kwa siku natumia GB 1 hadi 2. Sasa leo hata saa haijaisha wanasema nimetumia 75%, zimebaki 731mb.
Nikasema labda kuna mtu anatumia Wifi yangu. nikachange password. wala hakuna apdate zozote nafanya. Saa hizi eti MB 173. kuna uhuni Vodacom wanatufanyia. Imewahi kukutokea hii?
Na usiwe unaangalia...Porn 🤣🤣 siangaliagi mkuu. Kwani we kwa 30K unapewaje?
Halotel ilipotea aisee, sijarenew…
Hiyo huduma naipataje?tcra wanatoa huduma yakujua matumizi yako
ila kama unatumia window 10 au 11 zina background updates ambazo inakuaga haadi na GB 3 ivo uwe unazistopisha