Hiki kifurushi cha Voda kimeenda wapi?

Hiki kifurushi cha Voda kimeenda wapi?

tcra wanatoa huduma yakujua matumizi yako

ila kama unatumia window 10 au 11 zina background updates ambazo inakuaga haadi na GB 3 ivo uwe unazistopisha
Ukiweka metered connection hakuna updates itakayofanyika gizani.
 
Ndiyo maana Wote tunaojitambua ( Kiakili ) tuko zetu tu Airtel ambako kila Kitu kiko tambarare huku mazuri mengine yakija na yakibuniwa vile vile.

Airtel THE SMARTPHONE NETWORK.

Happy Easter.
Tandao la kiduanzi ili kwa baadhi ya maeneo.
Ukiongea na mtu wa artel hamna utulivu kwenye kusikilizana
 
Roho inaniuma sana hapa. Nimenunua GB 3 kwa 5,000 saa tatu na nusu asubuhi, cha Wik. Nimeunga hotspot, mara nyingi nafanya hivi na kwa siku natumia GB 1 hadi 2. Sasa leo hata saa haijaisha wanasema nimetumia 75%, zimebaki 731mb.

Nikasema labda kuna mtu anatumia Wifi yangu. nikachange password. wala hakuna apdate zozote nafanya. Saa hizi eti MB 173. kuna uhuni Vodacom wanatufanyia. Imewahi kukutokea hii?
My friend this fokodam people are thieves,

Nimenunua kifurushi cha 20k, gb 12 sjatimia hata siku kumi kimeisha, nawapigia wananieleza ujinga.

Manina zao
 
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana, kuna wapuuzi kazi yao kujipakulia minyama kupitia mateso ya wengine
 
Tandao la kiduanzi ili kwa baadhi ya maeneo.
Ukiongea na mtu wa artel hamna utulivu kwenye kusikilizana
Kama una Masikio mabovu yana Uchafu hivyo kusababisha Usikivu hafifu hapo Airtel wanahusikaje labda?
 
Yaani Hadi sasa bado upo Voda! Hao tulishawapiga stop kitambo hata iIe M-Pawa yao inayodai kwa vitisho vikubwa.
 
Back
Top Bottom