Hiki kifurushi cha Voda kimeenda wapi?

tcra wanatoa huduma yakujua matumizi yako

ila kama unatumia window 10 au 11 zina background updates ambazo inakuaga haadi na GB 3 ivo uwe unazistopisha
Ukiweka metered connection hakuna updates itakayofanyika gizani.
 
Ndiyo maana Wote tunaojitambua ( Kiakili ) tuko zetu tu Airtel ambako kila Kitu kiko tambarare huku mazuri mengine yakija na yakibuniwa vile vile.

Airtel THE SMARTPHONE NETWORK.

Happy Easter.
Tandao la kiduanzi ili kwa baadhi ya maeneo.
Ukiongea na mtu wa artel hamna utulivu kwenye kusikilizana
 
My friend this fokodam people are thieves,

Nimenunua kifurushi cha 20k, gb 12 sjatimia hata siku kumi kimeisha, nawapigia wananieleza ujinga.

Manina zao
 
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana, kuna wapuuzi kazi yao kujipakulia minyama kupitia mateso ya wengine
 
Tandao la kiduanzi ili kwa baadhi ya maeneo.
Ukiongea na mtu wa artel hamna utulivu kwenye kusikilizana
Kama una Masikio mabovu yana Uchafu hivyo kusababisha Usikivu hafifu hapo Airtel wanahusikaje labda?
 
Yaani Hadi sasa bado upo Voda! Hao tulishawapiga stop kitambo hata iIe M-Pawa yao inayodai kwa vitisho vikubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…