Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nimetoka Airport nikawa nimeingia mandela road nimekamata hii barabara mpka riverside mbele yangu Kilikuwepo kigari kidogo aina ya Suzuki Swift. Aiseee huyu jama kakiwekea Uongo fulani hiki kigari mpaka nikawa nacheka. Gari inanesa utadhani Range Rover au Prado Mayai ninayoiendesha.
Akipunguza mwendo kinabonyea kikipanda hata kamwinuko kadogo kwenye lami kinanesa nesa mpaka mtu unaweza cheka kuwa kinazidisha si kwa kunesa kule. bahati nzuri tumekuja fika darajani ikawepo Suzuki Swift nyingine, zote nimeziacha mbele yangu makusudi ili niweze observe hiki kigari.
Hii nyingine ya blue haikuwa ikinesa kama hiki kingine ambacho nimekuwa nikiongozana nacho toka External. hiki cha kwanza kinanesa sana..... yaani kinanesa mpaka mtu unasema huu uongo umetiwa chumvi si kwa kunesa huko... kinatembea kama kinacheza reggae . swali langu likawa atakuwa amekifanya nini? ameongezea nini?
Sababu kiukweli kinaburudisha sana hata kukiangalia jinsi kinavyonesa. hakikutofautiana sana na Prado Mayai nliyokuwa naendesha. tena nahisi kama kalizidi maan akipunguza mwendo kidogo kanakuwa kama kanainama mbele kukubali kuwa sawa kanapungua. akiongeza mwendo kanashuka nyuma mbele kanainuka huku kakinesa nesa. pia niligundua kalikuwa kamenyanyuka kidogo. si sana.
Wadau hiki kigari kitakuwa kimeongezewa nini kinachofanya kinese nese namna hiyo?