Hiki 'Kijembe' cha maana Ali Kiba kamtupia nani hapa Tanzania?

Hawakutakiwa kupiga picha kwenye ile party, ila kulikuwa na mpiga picha maalum wa Pumzi Baba kwenye lile tukio na hii ni kati ya picha zilizopigwa pale. Inatafutwa picha mheshimiwa alivyokuwa ametupia kivazi, hawajai release sababu mheshimiwa siyo target yao, yaani hayupo kwenye mpango wao, ila kama alivalishwa itapatikana tu.
 
"Nasikia P Diddy ana Mafuta mengi na Kitanda Kikubwa"

Mnaojua masuala ya Vijembe tafadhalini tusaidieni pia Sisi tusiojua ili tuweze Kuelewa ni nani amelengwa hasa hapa.
Hapo kaongelea mafuta na kitanda tu, hajataja wala ku-implicate mtu. Mangine mnajiongeza/mtajiongeza rightly or wrongly kwa sababu yanajiri currently kwa kukamatwa kwake na aina ya kesi yake, hapa Ina maana kila aliyewahi kuwa karibu naye anakuwa scrutinized.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…