Hiki kijiti kinasaidia nini?

Hiki kijiti kinasaidia nini?

Muh tachii

Member
Joined
Aug 7, 2024
Posts
7
Reaction score
12
Nimeona hii kitu kwenye mkoba wa mke wangu kina saidia nn iki kijiti?

IMG20240807185430.jpg
 
Huu sio mti, ni mizizi wa wamasai, wengine wanaita mbooboo, ni mchugu flan hivi.

kwa wanaume unasaidia kuimarisha uume, ila kwa wote wanatumia kama dawa ya UTI na homa homa.

🍆👀au mkeo kamnunulia kchepuko akapigwe show kali? Nakutania jamaa angu mke anauma
 
Back
Top Bottom