Hiki kijiti kinasaidia nini?

Huu sio mti, ni mizizi wa wamasai, wengine wanaita mbooboo, ni mchugu flan hivi.

kwa wanaume unasaidia kuimarisha uume, ila kwa wote wanatumia kama dawa ya UTI na homa homa.

๐Ÿ†๐Ÿ‘€au mkeo kamnunulia kchepuko akapigwe show kali? Nakutania jamaa angu mke anauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ