Hiki kilichonitokea jana na juzi mwilini kwako kimewahi pia kukutokea?

Umenyoa nywele za kwapan? kama zipo huwa zina tabia ya kuweka ukoko mweupe na huo ukoko ukipata joto huyeyuka na kuwa kama uji uji au mapovu hayo uliyoyaona
 
Jasho jingi kwapani + kazi ngumu iliyokulazimu muda wote uifanye huku umebana makwapa(kubeba tofali) + ile friction sasa = Povu
Iyo kaz ulifanya ukiwa kifua waz au ulikuwa na vest tu bila shaka na ukute kwapa ulitoka kulinyoa sio siku nying. Kwa iyo ni kawaida tu iyo hali kwa baadhi ya watu usiogope
 
Jifunze kuoga walau Mara mbili au tatu kwa siku. Hiyo ni dalili ya kuwa hujui kuoga
 
Jichunguze huogagi vizuri na hata nywele zako za kwapa zina weupe uliogandaganda.... osha kwapa vizuri kwa dodoki na sabuni, suuza na maji safi hadi povu liishe kabisa, paka mafuta ya maji.
Asante kwa ushauri mujarab
 
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…