NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Unatumia chumvi nyingi halafu unywaji wako wa maji Ni mdogo pia huwa hufanyi mazoezi hivyo hilo povu Ni mlundikano wa chumvi isiyohitajika iliyoshindwa kutoka kwa utaratibu wa kawaida imetolewa kwa kulazimishwaKopa kuoga ndyo nini? Wala sipaki losheni nyingi