Unatumia chumvi nyingi halafu unywaji wako wa maji Ni mdogo pia huwa hufanyi mazoezi hivyo hilo povu Ni mlundikano wa chumvi isiyohitajika iliyoshindwa kutoka kwa utaratibu wa kawaida imetolewa kwa kulazimishwa
Sio chini ya Lita nne kwa siku, ninakojoa mno na kisukari nimepima Mhimbili hakipo, niliambiwa huenda ni diabetic inspidus. Nilipewa vidonge lakini bado kiu kikali na kukojoa sana. Kumbuka hiki sio kisukari kile kilichozoeleka.