Hiki kimewahi kunitokea.........

Dah. . . mbona unaniweka majaribuni mkwe?Ningeweza hata kwa ungo ningekuja. . . mabasi ya huku kwetu yamegoma.
Panda TOYO aka BODABODA
 
Z. nikaenda nikaenda nikaenda na hadith yangu imeshia hapo.X.Hadithi ina2fundisha nini?.Z.(@@@@@@@@@@)
 
Z. nikaenda nikaenda nikaenda na hadith yangu imeshia hapo.X.Hadithi ina2fundisha nini?.Z.(@@@@@@@@@@)
Inatufundisha kwamba "Usilolijua litakusumbua"
 
Sijui kwa nini nlikuwa nakuweka kwenye kundi la wadada! Merry X-mass shem, and happy new year 2012
 
Wewe usome then ukae kimya coz sijaweka sehemu ya kuuliza maswali

Tajiri yangu kama huhitaji maswali ni vyema ungeipeleka sredi kwa Kubenea (Mwanahalisi) Tanzania Daima, Raia Mwema! Mbona magazeti ni mengi tu! Kuvua nguo hakumaanishi ku'do tu! , pia kuna na kuoga!
 
Sijui kwa nini nlikuwa nakuweka kwenye kundi la wadada! Merry X-mass shem, and happy new year 2012
Mh, maybe u had ur reasons but dah nakumbuka yeah kuna siku ulichangia thread moja hivi ukawa unanirefer kama mwanamke. Pole lakini naw u know
 
Tajiri yangu kama huhitaji maswali ni vyema ungeipeleka sredi kwa Kubenea (Mwanahalisi) Tanzania Daima, Raia Mwema! Mbona magazeti ni mengi tu! Kuvua nguo hakumaanishi ku'do tu! , pia kuna na kuoga!
Mh hizo siasa sasa, haya bhana ntaipeleka Mungu akipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…