Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe usome then ukae kimya coz sijaweka sehemu ya kuuliza maswali
mie kuna mwanamme alinisingizia nimempe ujauzito, duh kuna mambo
Wewe usome then ukae kimya coz sijaweka sehemu ya kuuliza maswali
Mh, maybe u had ur reasons but dah nakumbuka yeah kuna siku ulichangia thread moja hivi ukawa unanirefer kama mwanamke. Pole lakini naw u knowSijui kwa nini nlikuwa nakuweka kwenye kundi la wadada! Merry X-mass shem, and happy new year 2012
Mh hizo siasa sasa, haya bhana ntaipeleka Mungu akipendaTajiri yangu kama huhitaji maswali ni vyema ungeipeleka sredi kwa Kubenea (Mwanahalisi) Tanzania Daima, Raia Mwema! Mbona magazeti ni mengi tu! Kuvua nguo hakumaanishi ku'do tu! , pia kuna na kuoga!