Hiki Kingereza cha Wasanii wetu kwenye Instagram accounts zao ni cha wapi?

Hiki Kingereza cha Wasanii wetu kwenye Instagram accounts zao ni cha wapi?

Mzee huo ni mfano tu, ugumu upo wapi kuelewa hapo, alafu diamond yupo verified hiyo official ya nini?
Kwani wote ambao ni official si walianza bila ku be verified, mfano davido(official davido)so point yako iko wapi...?
 
Wakuu, mi nauliza tu!

Hawa ni mastaa wetu, ‘vioo’ vya jamii. Basi wengi wao hupenda ku-name akaunti zao ‘official’.

Yaani kila msanii ana prefix- au suffix- official, hata wale uchwara atajiita ‘officialuchwara’ au ‘utopoloofficial’.

Napata tabu huenda mimi sielewi, na wala siioni huko kwa mabeberu tunakojifunza. Wajuvi nijuzeni, nami nipate kujua.

Nini maana ya kuwa ‘official’ kwenye hizi kurasa zetu?

Asanteni.
Hii kuandika official imekuja kabla Instagram hawajatoa huduma ya bluetick validation kwenye accounts za watu maarufu au mashuhuri. Hayo ni matokeo ya tabia ya hackers kuiba sana accounts za hawa watu au tabia za watu kufungua account kwa majina ya hawa watu maarufu.

Ni kama sasa hivi ukiingia facebook utakuta account zaidi ya 20 za diamond, au irene uwoya, au za mtu yoyote anayejulikana sasa ili kuondoa utata ndio wengi huwa wanaandika neno official ili kujenga attention kuwa ni yeye rasmi ndie kafungua account.

Ila baada ya huduma ya bluetick kwenye account naona sasa hivi watu mashuhuri hawahangaiki tena na mambo ya kuandika official nani nani sijui
 
Samcezar
Asante kwa maelezo mazuri, lakini bado haimzuii mtu yeyote mwenye lengo hilo kuandika official hata kama sio yeye.

Pia hapo kwenye blue tick validation, hivi ni kwamba Instagram wanamtambua kuwa huyu ni mtu maarufu.? Au anawapa taarifa kuomba verification au kuna vigezo vya kutimiza.?

Nipe elimu kidogo hapa.
 
Mtia Uzi anataja kutuonesha kwamba ye kasoma saanaa ualimu.. hili ndo lengo lake kuu!
 
Wakuu, mi nauliza tu!

Hawa ni mastaa wetu, ‘vioo’ vya jamii. Basi wengi wao hupenda ku-name akaunti zao ‘official’.

Yaani kila msanii ana prefix- au suffix- official, hata wale uchwara atajiita ‘officialuchwara’ au ‘utopoloofficial’.

Napata tabu huenda mimi sielewi, na wala siioni huko kwa mabeberu tunakojifunza. Wajuvi nijuzeni, nami nipate kujua.

Nini maana ya kuwa ‘official’ kwenye hizi kurasa zetu?

Asanteni.
Ningeshangaa kma kiingereza hiki wangeongea wasanii wa nje wenye lugha hii kama lugha ya Taifa, ila kwa hapa hata broken unaeleweka tu, Muhimu ujumbe ufike tu.

cc Unai Emery.
 
Sometimes what you dream, can be 'receiven'!!
Na huwezi kuvuna usichokipanda, thanks God for 'given'!!

#Jeshi.

Hii kidhungu ya Mayonnaise napendesa sana aruuu!
 
Back
Top Bottom