Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kwani wote ambao ni official si walianza bila ku be verified, mfano davido(official davido)so point yako iko wapi...?Mzee huo ni mfano tu, ugumu upo wapi kuelewa hapo, alafu diamond yupo verified hiyo official ya nini?
Hii kuandika official imekuja kabla Instagram hawajatoa huduma ya bluetick validation kwenye accounts za watu maarufu au mashuhuri. Hayo ni matokeo ya tabia ya hackers kuiba sana accounts za hawa watu au tabia za watu kufungua account kwa majina ya hawa watu maarufu.Wakuu, mi nauliza tu!
Hawa ni mastaa wetu, ‘vioo’ vya jamii. Basi wengi wao hupenda ku-name akaunti zao ‘official’.
Yaani kila msanii ana prefix- au suffix- official, hata wale uchwara atajiita ‘officialuchwara’ au ‘utopoloofficial’.
Napata tabu huenda mimi sielewi, na wala siioni huko kwa mabeberu tunakojifunza. Wajuvi nijuzeni, nami nipate kujua.
Nini maana ya kuwa ‘official’ kwenye hizi kurasa zetu?
Asanteni.
Ningeshangaa kma kiingereza hiki wangeongea wasanii wa nje wenye lugha hii kama lugha ya Taifa, ila kwa hapa hata broken unaeleweka tu, Muhimu ujumbe ufike tu.Wakuu, mi nauliza tu!